xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,319
- 4,701
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini ujinyime uhuru wa kuchangia nyuzi za JF (labda kama ulikuwa unatukana) kisa avatar! Mimi mwenyewe hiyo avatar si picha halisi ya kwangu, labda kuna agenda ya siri
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini unajionesha kwanza, uonwe halafu baadaye utabadilisha!Ntachangia mada zote ila sitatoa mchango usio na maadili wala wenye kuvunja sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru. Ningefrahi zaidi kama nami ningekufahamu pia. Maybe PM...
Utaota unakimbizwa na members wa jf. Mie mstari wa mbele
Sawa mkuuNashukuru. Ningefrahi zaidi kama nami ningekufahamu pia. Maybe PM...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupiemo kapicha bassasa ukiniona mm s
ukiniona mm si utazimia nilivo Hb mpaka napewa likizo kazini
Hahah nyuzi za mzee baba ntakua nazisifia tuutajisahau utacomment uzi wa ndugu jiwe ndipo itakapo kua hatare huna private VPN na unatumia real avator
Kama ni hivyo Nitajikamatisha kwakoUtaota unakimbizwa na members wa jf. Mie mstari wa mbele
Hehe hehe ulinifanya nipate presha maana wadada wa JF mko vizur kwenye kudadis na kuchambua