Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
kidevu cha kiume kbs hiki..mwanaume ndevu jaman..khaa!navyopenda ndevu..wapi@espy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Manengelo. Nilikuwa na vijukumu vizito kidogo.hhahahaha nilikumiss ww mdada haha ht mm nashangaa kufunga hvyo hilo shirt jaman.lol
Hapana, yeye peke yake ananitosha. Sitaweza kuwamudu mr handisamu.Na yeye inabid umtafutie mwenzake. I'm single and ready to mingle.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo tuone sasa manake duh.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]niliacha tangu Jana kumchambua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww kitoto upo?usimchambue bwana..kuna mtu anatafytwa anaswe hapa..weka moyoni...nahus na boufriend wako anafunga vifungo hvyo
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Sipati picha, Ila tukiuno twembamba kwenye Yale mambo tuko poa sana
Asante Manengelo. Nilikuwa na vijukumu vizito kidogo.
Halafu hapo amini usiamini hiyo ndiyo best pic kwake. Mtoa mada kwa niaba yangu fungua vifungo vitatu😴😴😴
Jamani mimi mkubwa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww kitoto upo?usimchambue bwana..kuna mtu anatafytwa anaswe hapa..weka moyoni...nahus na boufriend wako anafunga vifungo hvyo
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]niliacha tangu Jana kumchambua.
Acha tusipeperushe njiwa wake bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]???real?
Halafu hata kwenye uhendisamu hayupo. Ukisikia D.A kachambwa ndiyo Leo. Huu mdomo huwa unaniponza jamani.hahahahahhahahaha.....mm walaaa!
Mkuu umepoa poa sana jitahidi kuchangamka.
Yaani inaonyesha siyo kwenye picha tuu ila hadi kwenye uhalisia umepooza sana.
Halafu habari za kufunga vifungo hadi kidevuni waachie wachungaji.
Pia hudhuria Jim kifua hicho kitune tune maana mwili hauendani na sura kabisa.
unanichonganisha na mtoa mada ujue[emoji23][emoji23]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji4][emoji4][emoji4]bas nitumie neno danga lako[emoji4]
Nimecheka lol. Siyo kwamba unajichonganisha mwenyewe?[emoji119][emoji119][emoji4][emoji4][emoji4]
unanichonganisha na mtoa mada ujue
Nimecheka lol. Siyo kwamba unajichonganisha mwenyewe?[emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app