eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
ATCL inaendeshwa kwa hasara
there are several kinds of loss. norminal or real?
failing to break even? cash flow against projections?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ATCL inaendeshwa kwa hasara
I'm right in my sense. That was the findings of PIC not my inventionbrother come back to your senses. the loss of 113bn for 3yrs!!?? huh do you even know the turnover of the atcl?
I'm right in my sense. That was the findings of PIC not my invention
Ndio itaenda kuendeshwa kwa faida sasaATCL inaendeshwa kwa hasara
Hivi nyie wafuasi wa [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] mnafanya kazi wapi, siyo humo humo kwenye mashirika, taasisi na ofisi zisizo na ufanisi? Kwani chadema mmeanzisha sehemu zenu za kufanya kazi? Hata huko ATCL inayojiendesha kwa hasara wafuasi wa mshitaki wetu mpo; mbona hatuoni mkiinua ufanisi wa utendaji kazi kwenye maeneo hayo?Mwaka watatu huu ATCL inafanya biashara kichaa. Wanalumumba wengi humu hata kupanda ndege ya Dar to Zanzibar hawajawahi. Hasara ya ATCL imefikia bilion yenye digits 3 kwa sasa yaani ni hasara ya zaidi ya 113bil kwa mwaka 2016/17 kwa mujibu wa kamati ya bunge letu tukufu chini ya Ndugai kama Spika
Nakushauri hizo jet liners zikija uwe unapanda ndege za ATCL kwenda Mbeya ili kupunguza hasara vinginevyo hiyo hasara itafikia trillions Chakubanga atakapokuwa akiachia uongozi. Wasalimie kwa Mama John
Hivi nyie wafuasi wa [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] mnafanya kazi wapi, siyo humo humo kwenye mashirika, taasisi na ofisi zisizo na ufanisi? Kwani chadema mmeanzisha sehemu zenu za kufanya kazi? Hata huko ATCL inayojiendesha kwa hasara wafuasi wa mshitaki wetu mpo; mbona hatuoni mkiinua ufanisi wa utendaji kazi kwenye maeneo hayo?
Jukumu la kuleta ufanisi kwenye maeneo yetu ya kazi ni la watanzania wote bila kujali itikadi za vyama, wala kujali chama gani kimeunda serikali.
Lol ...! Point yangu ya msingi siyo kuajiriwa au kujiajiri, ni hoja ya kuongeza ufanisi kwenye sehemu za kazi. Inashangaza wewe kamanda umeona suala la kujiajiri!Bahati mbaya sijawahi kuajiriwa maisha yangu yote na wala sitarajii. Mimi naajiri. Na wewe ukitaka njoo nikuajiri.
Sana yani siamini haya mambo yamewapita hivi hivi tu Baada ya kutupumulia masikioni with your unbrushed teeth.Naona SGR na Pipeline vinakunyima raha jobless
Nice,twiga soon anaanza kutua China
twende Mwanza vs NairobiSana yani siamini haya mambo yamewapita hivi hivi tu Baada ya kutupumulia masikioni with your unbrushed teeth.
Tuingie battle ya Mombasa vs Dar es Salaam tuwadhalilishe zaidi you losers.
Niko hapa Mombasa vs Dar es Salaamtwende Mwanza vs Nairobi