NEW BOMBARDIER JETS EXPECTED TO JOIN AIR TANZANIA FLEET BY MID YEAR

brother come back to your senses. the loss of 113bn for 3yrs!!?? huh do you even know the turnover of the atcl?
I'm right in my sense. That was the findings of PIC not my invention
 
Hivi nyie wafuasi wa [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] mnafanya kazi wapi, siyo humo humo kwenye mashirika, taasisi na ofisi zisizo na ufanisi? Kwani chadema mmeanzisha sehemu zenu za kufanya kazi? Hata huko ATCL inayojiendesha kwa hasara wafuasi wa mshitaki wetu mpo; mbona hatuoni mkiinua ufanisi wa utendaji kazi kwenye maeneo hayo?
Jukumu la kuleta ufanisi kwenye maeneo yetu ya kazi ni la watanzania wote bila kujali itikadi za vyama, wala kujali chama gani kimeunda serikali.
 

Bahati mbaya sijawahi kuajiriwa maisha yangu yote na wala sitarajii. Mimi naajiri. Na wewe ukitaka njoo nikuajiri.
 
Naona SGR na Pipeline vinakunyima raha jobless
Sana yani siamini haya mambo yamewapita hivi hivi tu Baada ya kutupumulia masikioni with your unbrushed teeth.
Tuingie battle ya Mombasa vs Dar es Salaam tuwadhalilishe zaidi you losers.
 
Sana yani siamini haya mambo yamewapita hivi hivi tu Baada ya kutupumulia masikioni with your unbrushed teeth.
Tuingie battle ya Mombasa vs Dar es Salaam tuwadhalilishe zaidi you losers.
twende Mwanza vs Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…