New Broadcaster To Challenge Dstv and Kwese: Meet AzamTV

New Broadcaster To Challenge Dstv and Kwese: Meet AzamTV

Platform ipi unayo tumia wewe? kwenye kutangaza mimi nitakupinga labda sema hawana swagga zako za kuvaa makoti makubwa na tai
Zuku na DSTV, Tv za Uganda zipo, ila sijui kwanini za Tz hazipo. Hahaha, koti kubwa na tai huwa zinawafit tu nyinyi wasukuma. 😀
 
Zuku na DSTV, Tv za Uganda zipo, ila sijui kwanini za Tz hazipo. Hahaha, koti kubwa na tai huwa zinawafit tu nyinyi wasukuma. 😀
Wewe huna DSTV wala ZUKU. Wewe na Mwasiti mmezilisha leo kuwa EPL mnaiyangalizia bar au kwajilani. Wadau wenye DSTV msikilizeni huyu mkenya masikini😀😀😀
 
Wewe huna DSTV wala ZUKU. Wewe na Mwasiti mmezilisha leo kuwa EPL mnaiyangalizia bar au kwajilani. Wadau wenye DSTV msikilizeni huyu mkenya masikini😀😀😀
Sinywi pombe kwa hivyo sifiki bar. Mimi kwenye raga ndio utanipata sio EPL. Sina jilani, nina jirani. Tv za Tz hazipatikani huku Kenya hata kwenye Dstv. EATV ipo sijui inakuwaje au hawakubali zitizamwe nje ya Tz? Ila kwa wengine wetu ambao wamezitizama na wanazijua, sio jambo la kunung'unika hata kidogo. Wanaotangaza na kuripoti kwenye Tv za Tz si wanahabari bali ni wakulima, tena wa maparachichi! 😀 Zero proffessionalism, very boring! Najua wewe mwenyewe huwa unatizama NTV, KTN, CITIZEN, K24 n.k., hongera zako.
 
Huna DSTV. Unalipia package ipi ya DSTV??
 
Nawatamani sana
Penda chako waunge Azam TV mkono. Kwese anaonyesha match moja ya jumamosi jioni ambayo kwenye AzamTV rts wanarusha pia. Siyo epl yote wanaonyesha pia hiyo match zilikuwa zinaonyeshwa na TV 1 ambayo Kwese waliinunua
 
  • Thanks
Reactions: Lee

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Japo huko sahih lakini ngoja wawe wengi ili huduma zizidi kuwa boraa au vipi ndugu
 
Nawatamani sana
Kwese are trying. Although they have branched into other areas and new channels. Am still glued to their sport channels alot. Watched all type of sports when I would watching some nonsense or the other. All sports and they are all African too. That counts.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Dah ndio nimeicheck check TBC. Aisee maigizo kama yale ya comedy show! Ngoja ntarudi na mrejesho kuhusu clouds soon.
Umekimbilia kwa Jirani [emoji13] [emoji13] [emoji13] , njoo na feedback za ETV, ITV, EATV, Clouds, Startv
 
Umekimbilia kwa Jirani [emoji13] [emoji13] [emoji13] , njoo na feedback za ETV, ITV, EATV, Clouds, Startv
Sawa. Ila usingoje nije na mazuri, nazijua. Mimi ni mtu wa mikiki mikiki usitegemee nipoteze muda wangu bure nikipuliza gunia. Labda Clouds na kidogo Itv, hao wengine vioja tupu! You know its true. Stop lying to yourself! 😀
 
Ndio maana nimewaacha tu wachape pumba zao. Eti Kenya ina sita. 😀 Alafu wapo very proud, Tanzania tuna 26! 😀 Unasema universities, kuna mashirika mengi sana, na parastatal kadhaa na wizara hapa Kenya kama ile ya Youth, Sports and Culture, ambazo zina Tv station zao! Aisee hadi na kanisa za walokole karibia zote. Tv za kisomali tu ni karibia ishirini. 😀 Orodha ya kweli wakiiona si watazimia? Yaani hata Bunge Live na Senate pia ni Tv stations kivyao with 24/7 coverage.

Halafu wanavyokimbilia tz kutafuta kazi na vyeti vyao fake
 
Halafu wanavyokimbilia tz kutafuta kazi na vyeti vyao fake
Mamaudaku. What a username! Natania. Unajifanya mgeni. Wewe siunatujua tu sisi manyang'au tulivyo? Hatujui kutulia. 😀 Karibu Kenya, ufanye revenge.
 
Back
Top Bottom