New BRT buses Banned by Nairobi County for being Low Quality ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

New BRT buses Banned by Nairobi County for being Low Quality ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwendeni kwanza mkachongeshe mengine,sisi ndio wakaguzi[emoji23][emoji23][emoji23].

Tunaongea jf viongozi kenya wanafuata,tuliyaponda na wao wameyakataa[emoji2]
Hhhhhh!!wewe na nani
 
Kuna watu huwa hawasomi taarifa ya mada au kufatilia chanzo cha habari kwa umakini. Hamna popote waliposema mabasi hayo ni 'low quality' shida ni design yao ni tofauti na vigezo vilivoekwa na County ya Nairobi. Wakirekebisha sawa, wasiporekebisha kuna kampuni zingine nyingi hapa hapa Kenya ambazo zitachangamkia fursa yenyewe.
Na wewe ungesoma vizuri usinge jipa matumaini ya kampuni zingine za ku unga unga mabus za Nai kupewa hiyo tenda. Wamesema gvt ina jiandaa ku import 100 buses, kubali ya ishe. Hamtoshani msee
 
Na wewe ungesoma vizuri usinge jipa matumaini ya kampuni zingine za ku unga unga mabus za Nai kupewa hiyo tenda. Wamesema gvt ina jiandaa ku import 100 buses, kubali ya ishe. Hamtoshani msee
Hatutoshani na.....? Mbona huo mpango ulikuwa tangu awali tu? Unayaponda hayo mabasi ukisema ni ya kuunga unga wakati nchi yenu ya viwonder hamna hata assemby plant moja, angalau hata ya vits tu.
 
Hatutoshani na.....? Mbona huo mpango ulikuwa tangu awali tu? Unayaponda hayo mabasi ukisema ni ya kuunga unga wakati nchi yenu ya viwonder hamna hata assemby plant moja, angalau hata ya vits tu.
Sasa kuwepo kwa Isuzu Kenya lakini serikali ina mpango wa kuagiza nje inamaanisha hata ninyi wenyewe hamuamini bidhaa zinazozalishwa nchini mwenu, hii inaonyesha ni kwa kiasi gani hamjui mlifanyalo hapa duniani.
 
Isuzu Made in Kenya zipo mabarabarani na mara kwa mara utaona msururu wa mabasi na truck zao zikielekea Namanga na Busia Border. Wewe umesikia high capacity bus yao ukajua hiyo ndio biashara yao tu. Unadhani wanapata faida mwaka nenda mwaka rudi kwenye biashara ya kuuza maandazi nini? Nakuelewa lakini, akili zako ni za abcd tu, na aeiou.
 
Chizi wewe, nimesema kama serikali yenu imeamua kuagiza toka nje wakati wangeweza kutoa order na kutengenezewa hapo hapo Kenya ili kukuza uchumi wa nchi, hiyo ni dalili kwamba serikali yenyewe haesziamini.

Huwa Mimi ninawashangaa sana ninyi wakenya, huwa hamfanyi Yale mnayosema, serikali yenu ipo na slogan ya "Buy Kenya, build Kenya", iweje serikali hiyo hiyo inataka kuagiza gari nje ya nchi?. Mpo na Magic Kenya, lakini wakenya wanajazana kutembelea utalii wa Tanzanian, wakiwemo mawaziri wa Kenya na wabunge.
 
New York? hahahahaha......
Hiyo design unayosema hapa ni life threatening, na kama kitu ni life threatening ni bad quality. Kwanza Nairobi haiko tayari kwa BRT meaning infrastructure like bus stops and terminal are safe for passengers. Hizo basi hazikutakiwa kuwa na ngazi milamgon ili kuwezesha kila mtu hata mlemavu au mama mjamzito wanaweza kupanda. Vioo madirishani ni low quality maana gari ikipata ajali chakwanza kinachotokea ni abiria kuumizwa na vioo. Milango sio automatic (controled by driver) kuzuia watu kufunguwa wakati gari inakwenda mwendo wa kasi.
life-threatening...do you even know the meaning of that word๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€and yes those buses can work anywhere in the world...nina uhakika kuna mabasi kama haya kule new york...
 
life-threatening...do you even know the meaning of that word๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Mje tena Tanzania mjifunze mambo ya BRT hata nchi zilizo endelea public Trasport and platform are all in one level. Leo hii mtu akipanda hizo ngazi akakosa step na kuanguka na kufa, mtamlaumu nani? Wakenya, acheni huu ushamba wakujifanya wazungu kumbe bado wanya chang'aa. Tembeleni dunia mujionee mambo, we're in AI age for God sake.
 
Mje tena Tanzania mjifunze mambo ya BRT hata nchi zilizo endelea public Trasport and platform are all in one level. Leo hii mtu akipanda hizo ngazi akakosa step na kuanguka na kufa, mtamlaumu nani? Wakenya, acheni huu ushamba wakujifanya wazungu kumbe bado wanya chang'aa. Tembeleni dunia mujionee mambo, we're in AI ages for God sake.
et tembeeni dunia....sasa wewe nyumbu fala umewahi kutoka hapo manzese ulipo kweli?
1539995598809.png
1539995598809.png
na mabasi kama haya nimeziona london, amsterdam..kutuambia eti basi kuwa na stairs ndio inaifanya kuwa low quality sijui mnatumia nini kufikiria...ungesema hayo mabasi yalitumika hapo awali ila matumizi yake yamepungua ningeelewa...ila kusema eti hayatumiki popote na manzese hujawahi toka unanshangaza tu
1539995660538.png
1539995598809.png
 
Haha, hiyo Changaa leo sio mchezo mpaka unaona Kakamega ni London na Amsterdam. [emoji23][emoji23]
wewe pimbi ndio unaona london na amsterdam kuwa ni big deal๐Ÿ˜€..yaani humo watu wanaingia na kutoka kama choo...nimesoma kule, dadangu ameolewa kule pia....toka manzese angalau uchanuke
 
wewe pimbi ndio unaona london na amsterdam kuwa ni big deal๐Ÿ˜€..yaani humo watu wanaingia na kutoka kama choo...nimesoma kule, dadangu ameolewa kule pia....toka manzese angalau uchanuke
Kama ungekuwa umeishi huko usingejiaibisha kwa kufananisha mabada ya kuku ya Nairobi BRT na usafiri wa nchi za Ulaya.
 
Kama ungekuwa umeishi huko usingejiaibisha kwa kufananisha mabada ya kuku ya Nairobi BRT na usafiri wa nchi za Ulaya.
smh...kule naingia kama choo..ila na prerfer kuishi nyumbani...anyway, debate finished..nimemaliza
 
low quality pengine hicho kichwa chako...these buses are of high quality...design tu ndio shida...nimemaliza...

Teh teh teh tihiii
basi ngoja tuachie hapo MAANA hujui (hata unachoandika) quality is a function of which parameters.
F(q) = {r, s, t, u, v}.

CC: Mkikuyu- Akili timamu - ninatilia SHAKA kama anaelewa anachoandika
 
Ni sawa BT Tanzania wana assembly nini? hata bicycle assembly hakuna dar nzima ni mabanda ya chips that's wat u can do better
 
Am sooo confused, I have these as the Kenyan BRT....kwani kuna aina ngapi nyumbani?

1541290022871.png
 
Back
Top Bottom