1academ
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 2,316
- 3,567
Aisee naskia kesho ni official holiday huko kwa waswahili ili kusheherekea kaushindi ka kikombe cha cosafa[emoji90] [emoji2], anyway kenya bado inapepea ipo namba 74 kwenye fifa ranking, waswahili namba 139, yaani ligi moja na somalia baby hukoo kidedea...