Aisee naskia kesho ni official holiday huko kwa waswahili ili kusheherekea kaushindi ka kikombe cha cosafa[emoji90] [emoji2], anyway kenya bado inapepea ipo namba 74 kwenye fifa ranking, waswahili namba 139, yaani ligi moja na somalia baby hukoo kidedea...
Imagine people in Santiago, Chile gives us a nod for being a role model for any big city wanting to overcome traffic congestion but nothing come out of Nairobi ! Even by the254s pressing a like button on this thread in Jamiiforums
Yaani huu mwendokasi kweli JK nampa heko sanaaa
Nishasahau mambo ya foleni siku hizi nikikaa kwenye foleni naona ajabu sana.
Sijaongea na mtu anaitwa kondakta yapata mwaka sasa