Jamani mpka sasa hmjaelewe tu.
Biashara yake iko hivi:
Unakaribishwa ktk hoteli nzuri au ukumbi mzuri tu .eg Holiday inn,sheraton/moven pick.
unaonyeshwa video za watu waliofanikiwa,halafu unaonyeshwa mfumo wa "NETIWEKING" NA Multi level marketing. ukishakolea na darasa unaambiwa utoe laki 350,000 ili ujiunge na upewe form za kuwa member.
then unapewe parcel yenye Nutritional foods,Aleovera, Sabuni,Shampoo etc ili uviuze au utumie wewe mwenyewe.na baada ya hapo unaambiwa utafute NEW MEMBERS au downline wajiunge na walipe hizo pesa za kuanzia laki 3.5 na kuendelea na ktk kila transaction ya member mpya utakayemleta unapata % ya faida.
Kimsingi imekaa kama DECI fulani hivi lakini siyo DECI ya pyramid na hawapendi kutumia neno Pyramid.kuna kampuni kubwa 3 zina operate in TZ
1- GNLD 2,Tianshe 3-Forever living (hawa wamekuja miaka ya karibuni)
mimi nimekuwa navutiwa na plan zao za malipo na natamani nianzishe yangu ili niwe ktk Apex ya hiyo pyramid ,
Na wale waliojiunga mapema ndio wamefaidika saaana.Hizi biashara huwa haziendi beyond 10years kwani baada ya muda kila mtu anaistukia so inakuwa siyo dili tena.mfano watu waliokuwa GNLD wakaja kuamia Tienshi ,etc.
kingine ni kuwa bei za hizi bidhaa huwa VERY Overpriced. mfano dawa ya mswaki inaweza kuuzwa hadi dola 5. wakati nimekuwa natumia Colgate maisha yote kwa Buku 1 tu.na meno yako SaFI tu.