Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Man, Is this even a news? Come on:confused2:
Mbinu zenu maswahiba wawili kunikosesha ki-duu nilichoanza kukiweka kwenye hesabu.Napenda kuchukua fursa hii kuwatambulisha rasmi hapa jamvini kwa niaba yao mahabubu wawili ambao ni wanachama hapa tokea mwaka 2007.
Mahabubu hao ni 'ngosha' Steve Dii na 'check sista' Gaijin. Nawaombeni kwa mioyo mikunjufu kabisa tuwape pongezi kwa uamuzi wao wa kudondokeana. Ni matumaini yangu penzi lao litakua, kushamiri, na kuchanua kama maua ya waridi.
These two lovebirds take the phrase 'power couple' to a whole new level. I am excited and happy for them.
Hongereni Steve Dii na Gaijin (shem) :A S 8:
Wait aminute. NN inamaana baada ya wewe (fyucha mod) kutangaza hilo fungamano la kijinsia, sisi tunaotoa ndimi nje tule kona au keep on trying?
Trust me she'll pay the bills.Lol...let me break it down for ya. If Steve Dii feels (that's hood lingo for love) Gaijin then he ought to be able to handle competition.
Now, you already know she's a high maintenance chick..so you gotta be able and ready to spend some guap on her....I'm talkin' 'bout ridiculous shopping sprees, wine and dine at the finest joints, it won't hurt a thing if you cop her a brand spankin' new whip...na' I mean? Heheheheee in a way I do feel kinda sorry for my boy Steve Dii...but what can I say....he's head over heels.....
So if I were you I wouldn't give up just yet. Just hang in there ma man....you never know.
Duh! Hii thread mwanzo mwisho maruerue! (@-@)
Pole kama umekwazika. Sina lengo baya zaidi ya kutaka kuleta tabasamu usoni mwako.
Lol...let me break it down for ya. If Steve Dii feels (that's hood lingo for love) Gaijin then he ought to be able to handle competition.
Now, you already know she's a high maintenance chick..so you gotta be able and ready to spend some guap on her....I'm talkin' 'bout ridiculous shopping sprees, wine and dine at the finest joints, it won't hurt a thing if you cop her a brand spankin' new whip...na' I mean? Heheheheee in a way I do feel kinda sorry for my boy Steve Dii...but what can I say....he's head over heels.....
So if I were you I wouldn't give up just yet. Just hang in there ma man....you never know.
Duh! Hii thread mwanzo mwisho maruerue! (@-@)
Mhusika mkuu wa tendo hajui na hana taarifa!...huh!.............Or otherwise it was planned to exist as a secret package!
Napenda kuchukua fursa hii kuwatambulisha rasmi hapa jamvini kwa niaba yao mahabubu wawili ambao ni wanachama hapa tokea mwaka 2007.
Mahabubu hao ni 'ngosha' Steve Dii na 'check sista' Gaijin. Nawaombeni kwa mioyo mikunjufu kabisa tuwape pongezi kwa uamuzi wao wa kudondokeana. Ni matumaini yangu penzi lao litakua, litashamiri, na kuchanua kama maua ya waridi.
These two lovebirds take the phrase 'power couple' to a whole new level. I am excited and happy for them.
Hongereni Steve Dii na Gaijin (shem) :A S 8:
Duh! Hii thread mwanzo mwisho maruerue! (@-@)
Ana matusi utatukanwa mpaka uchoke, acha kabisa! Mkwepe ila usimwogope
Nyani Ngabu hujui kama Steve Dii keshawahi kuni dedicat-ia hii nyimbo hapa chini (customized of course) na umeandika kuhusu 'power couple'...jee ungejua?
Duh! Hii thread mwanzo mwisho maruerue! (@-@)