New couple alert

New couple alert

Eti darasa la isimu,
Kwa Gaijin, hili si muhimu,
Si leo wala kwa msimu,
Kwake vimesheheni na kudumu.

This is what i'm talking about!

Steve is on fire.....good in all departments.:A S 11:
 
NN hebu njoo umfamishe huyu Msanii.....................ndio kusema vina havioni au choyo tu? lol
Hata mie vina vipo, cheki tungo yangu ya mwaka 70
Baobab is a tree,
we are two not three,
we feel soo free,
please don't flee,
before me to agree,
I feel blue,
u trap me like glue.
 
Hata mie vina vipo, cheki tungo yangu ya mwaka 70
Baobab is a tree,
we are two not three,
we feel soo free,
please don't flee,
before me to agree,
I feel blue,
u trap me like glue.
Msanii, nishakwambia sitanii,
Wee endelea na yako mashairi,
Steve hacheki akikubaini,
Ngeu itakutoka kiulani,
Kifuani makonde kukung'oa maini,
Sa'yanibidi kuchomoka on-laini,
Shari zako kuepuka kesi uhaini.


Mwangwi wa Handaki!
 
Hata mie vina vipo, cheki tungo yangu ya mwaka 70
Baobab is a tree,
we are two not three,
we feel soo free,
please don't flee,
before me to agree,
I feel blue,
u trap me like glue.

sasa unatuletea habari za mwaka 70 wakati wengine nia, madhumuni wala malengo ya kuzaliwa hayakuwepo!
hebu lete mstari ulioutunga hapo hapo ulipokaa kwenye kiti ueleweke.
 
Jamani, hao wahusika wenyewe mbona inaonekana kama na kwao pia ni breaking news? Mmoja anaona maruerue, mwenzie katoa thanks kwa maruerue ya mwenzake.

NN habari yako ina ukweli?
i have reasonable doubts too
 
yaani katika siku Gaijin nilowezwa ni leo.............ilinibidi nicheke tu hadi nione maruerue

Na uliponimaliza ni hapo kwenye " check-sista".....

Check sista eeee.......Asante

Naona umeamua kutoa vitisho vya moja kwa moja kwa huyo home boy wako. Hujuulikani unapongeza au unasikitika

Usihofu, I know Stevedii, is a man of substance, a gentleman, a woman like you would wish to be (even) close to.

Let nature take its course. Goodluck.
 
Usihofu, I know Stevedii, is a man of substance, a gentleman, a woman like you would wish to be (even) close to.

Let nature take its course. Goodluck.


thats the thing.....cause nature can only reveal itself naturally (sijui napo kuna vina?)

Congratulations, in case you need a driver( for ur limosine, of course) here I am.:welcome:
 
Usihofu, I know Stevedii, is a man of substance, a gentleman, a woman like you would wish to be (even) close to.

Let nature take its course. Goodluck.

Ama ahsante kwa maelezo yenye kutoa vote of confidence kwa SteveDii.........nitafuata ushauri wako wa kuachia nature ifanye kazi yake 😀

ila nikuulize kidogo .................hivi mwenzetu una data base kuhusiana na hawa viumbe wa jinsia ya kiume humu JF?
 
Back
Top Bottom