New couple! Announcement to all noticeboards !


hakuna SHIDA Baba V nitatekeleza majukum yangu kwa ufasaha

naahidi kukutumikia na kuyafata maelekezo yako bila hiyana yoyote
 
Last edited by a moderator:
mi naomba niwafunde maharusi
jamani ndoa si lelemama mkavumuliane kwenye shida na raha.sio leo tunapiga vigelegele hapa kesho muanze vikao vya kusuluhisha aaaaah
kubwa mtuletee tutasuluhisha lakini dogo mlimalize wenyewe.

Afu wewe ndo umesajesti mimi nipigane ngumi na Erickb52 ??? Hivi unanitakia nini kwa wana Arusha wing???? Unataka wanichukiee???? Nafuu ungeniletea wale wapambe wake wawili wanaojifanya vichwa ngumu zubedayo_mchuzi na Vin Diesel ndo niwaonyeshee advataizi, unataka Chocs awe mjane ghafla???
 

Baba V tafwazali nina kizygote tumboni usije ukaja kunipandisha BP, TOTAL, GAPCO za shelisheli nika basti please mambo mengine tuwe tunatonyana wawili tu
 
Last edited by a moderator:
Baba V tafwazali nina kizygote tumboni usije ukaja kunipandisha BP, TOTAL, GAPCO za shelisheli nika basti please mambo mengine tuwe tunatonyana wawili tu

Shemu naona mumeo ametulia na uraisi wake sasa kaona yeye ndo yeye ameanza kushirikiana na M23 dhidi yangu, Nimemwambia "I will wait for him at the right spot and I will HIT HIM", Hebu mshauri mumeo, otherwise I'm here to please...
 
Baba V tafwazali nina kizygote tumboni usije ukaja kunipandisha BP, TOTAL, GAPCO za shelisheli nika basti please mambo mengine tuwe tunatonyana wawili tu

Excuse me Shemeji Lady doctor ! As i beg your pardon!
Ni macho yangu ndiyo sioni vizuri au?
"Hapo tunanyonyana wawili"
sijaelewaelewa vizuri .
 
Last edited by a moderator:
Excuse me Shemeji Lady doctor ! As i beg your pardon!
Ni macho yangu ndiyo sioni vizuri au?
"Hapo tunanyonyana wawili"
sijaelewaelewa vizuri .

shem usije ukanitafutia balaa mie, tunanyonyana na nani? Hebu karudie tena kusoma herufi mojamoja
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Shemu naona mumeo ametulia na uraisi wake sasa kaona yeye ndo yeye ameanza kushirikiana na M23 dhidi yangu, Nimemwambia "I will wait for him at the right spot and I will HIT HIM", Hebu mshauri mumeo, otherwise I'm here to please...

mmmh! Baba V hebu subiri kwanza niongee nae, maana nasikia harufu ya damu kumwagika hapa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…