New couple! Announcement to all noticeboards !


Tunakuandalia sherehe ya kustaafu na kazawadi.

Kustaafishwa kunauma though!

COPY Mwenyekiti Erickb52 Judgement Mamndenyi Lady doctor King'asti Mtambuzi Mwali Filipo charminglady Rock City Kaizer DEMBA PakaJimmy ummu kulthum Smile ODM Asprin Heaven on earth mwallu BADILI TABIA The secretary Bishanga mshana jr Angel Nylon et al, habari ndio hiyo!!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Nakupa masaa matano kuanzia sasa hadi kufika saa 1:59 mchana uwe umefuta kauli yako. ama sivyo natangaza mgogoro rasmi nawe...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nakupa masaa matano kuanzia sasa hadi kufika saa 1:59 mchana uwe umefuta kauli yako. ama sivyo natangaza mgogoro rasmi nawe...

Baba V naomba msamehe Arushaone!
Najua vita vyako haviwezi .
Ataparalaiz bure! Msamehe!
Hata mkewe Lady doctor kuna fununu anajipanga akuombe umsamehe bwanaake.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…