Tunakuandalia sherehe ya kustaafu na kazawadi.
Kustaafishwa kunauma though!
COPY Mwenyekiti Erickb52 Judgement Mamndenyi Lady doctor King'asti Mtambuzi Mwali Filipo charminglady Rock City Kaizer DEMBA PakaJimmy ummu kulthum Smile ODM Asprin Heaven on earth mwallu BADILI TABIA The secretary Bishanga mshana jr Angel Nylon et al, habari ndio hiyo!!!!
mi naomba niwafunde maharusi
jamani ndoa si lelemama mkavumuliane kwenye shida na raha.sio leo tunapiga vigelegele hapa kesho muanze vikao vya kusuluhisha aaaaah
kubwa mtuletee tutasuluhisha lakini dogo mlimalize wenyewe.
Hizo zilikuwa kauli za Baba V ila hakuna kilichokwama!Mbona yale mapinduzi nasikia hayakufanikiwa?
Baba V achastep down sema bado anajidai ni mwenyekiti,hata kina mtela walipofukuzwa chadema bado walikuwa wanajifanya wanachamaHizo zilikuwa kauli za Baba V ila hakuna kilichokwama!
Mapinduzi yalifanikiwa ila Baba V amekuwa akipayuka kuwa yeye bado ni mwenyekiti ila sio kweli.
Ni maneno ya mkosaji!
Hatuhangaiki kurushiana maneno...sisi tunajipanga kwa kazi nzuri....sio kufanya kazi kama yeye...yan hakuna mikakati wala malengo..! ili mradi panakucha tu ebooooooo!
Cc Arushaone Excellent
Jamani naombeni siri ya kukamata mundwele humu Jf maana mi sielewi ujue? Ghafla naskia flani na flani ni couple, tupeni basi mbinu za mchezo nasisi tuingie kwenye ligi hiyo? Haya mambo yanatupita sana wazee wa jukwaa la Tech
Hizo zilikuwa kauli za Baba V ila hakuna kilichokwama!
Mapinduzi yalifanikiwa ila Baba V amekuwa akipayuka kuwa yeye bado ni mwenyekiti ila sio kweli.
Ni maneno ya mkosaji!
Hatuhangaiki kurushiana maneno...sisi tunajipanga kwa kazi nzuri....sio kufanya kazi kama yeye...yan hakuna mikakati wala malengo..! ili mradi panakucha tu ebooooooo!
Cc Arushaone Excellent
Tena yamekuwa hayo! anichukue anipeleke wapi? Alisema nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae,