New couple! Announcement to all noticeboards !

ukiona juhudi zako binafsi zimeshindwa toa ripoti kwa mwenyekiti (ila sina uhakika kama ni Erickb52 au Baba V ) ili akuweke kwenye waiting list. wakitokea seekers kama wewe anaku connect

Kauli zako zinanikera ujue...!
 
Last edited by a moderator:
mi naomba niwafunde maharusi
jamani ndoa si lelemama mkavumuliane kwenye shida na raha.sio leo tunapiga vigelegele hapa kesho muanze vikao vya kusuluhisha aaaaah
kubwa mtuletee tutasuluhisha lakini dogo mlimalize wenyewe.

Asante dadaangu tumeskia na tutazingatia
 
heri uwe mshenga maana natamani nioe ila vibinti vinanikwepa
huyu miss wa kinyaru atakubali kuwa na wewe lakini chonde chonde nakuomba usije kumuacha njia panda. mimi na huyu binti ni damudamu so isihofu utampata. muhimu ni nyie wenyewe kuoganise mipango ya harusi. mia
 
Last edited by a moderator:
Haachwi mtu hapa

Hivi wewe binti si ni muda mrefu , nakuambia nitafute nikuunganishie michongo !
Au unataka uje ufie kwenye hayo ma-land rover 109!
Shaul'lako , uwaonavyo akina YNNAH (Malkia wa Nyuki) wanatanua na Mi- Hammer , ni hesabu tu walizipiga vizuri.
Tupa kule Mkulima wa Ndizi .
 
Last edited by a moderator:
mi naomba niwafunde maharusi
jamani ndoa si lelemama mkavumuliane kwenye shida na raha.sio leo tunapiga vigelegele hapa kesho muanze vikao vya kusuluhisha aaaaah
kubwa mtuletee tutasuluhisha lakini dogo mlimalize wenyewe.

Anaewafunda yumo kwenye ndoa? Naomba kuuliza na kama alishakuwa na Ndoa...kaachika na anafundisha kilichomtoa yeye kwa ndoa ni nini? Naomba kuwasilisha!!
 
mi naomba kuuliza mkiwa declared as a couple humu mnaruhusiwa kujamiiana? au its more of a hypothetical couple? teh teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…