New Couple in Town! I love you so much!

Hata kama ni new couple on a beach⛱️ wewe pambana na hali yako.
 
financial services nimekutana nae jioni hii.
Tumeongea mambo kadha wa kadha.

Kwa ufupi tuu.
Kwanza amesikitika sana na kitendo hiki.

Pili amezidi kusisitiza kwamba jimbo bado liko wazi kwa wanaume ambao wako serious na watakaokidhi vigezo.

Mwisho amewatakia wiki njema katika kazi zenu.
Yeye binafsi amebanwa na majukumu ya kikazi na kifamilia.

Asanteni.
 
Wasagia kunguni wameingia 😀😀
 
Hata Mimi kaniambia the same kwenye simu😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…