New Deal signed to enable SGR elecrification in two years

New Deal signed to enable SGR elecrification in two years

Eti source: Kenyanwallstreet.😀😀 Ingieni kwenye hiyo acc msome comments. Kenyans are fools and shithole
Wakileta source nyingine please tag me.😀😀
 
Akileta link nitacheka sana.. bora ata asilete, Kenyans wanatapa tapa mapema sasa sijui ikifika 2020 itakuaje!!
2020 Kenya itakuwa ishaanza kusafirisha mizigo Northern Tanzania and Uganda kwa kutumia SGR Kenya, Direct flights to and from the United States(Lazima MTZee kupitia Kenya apende asipende), Lamu Port itakuwa second largest in East and Central Africa wakati nyinyi hamjui Reli yenu itapitia wapi.
 
Akileta link nitacheka sana.. bora ata asilete, Kenyans wanatapa tapa mapema sasa sijui ikifika 2020 itakuaje!!
Mkuu link hii hapa. Kenyans are fools and shithoĺes. Habari ipo tweeter kwa Kenyawallstreet, anatafuta followers.
Screenshot_20180205-185633.png
 
I fail to follow the discourse..... How one can tell the fossil locomotive are more recent technology than eleectrical ones?
Please also avail the source for further reading.
Usipoteze muda na wendawazimu hao, they just talk anything that gives them confort, that's why are ranked as a failed state.
 
I fail to follow the discourse..... How one can tell the fossil locomotive are more recent technology than eleectrical ones?
Please also avail the source for further reading.
Hii statement siyo kweli. Huku East Africa tumekuwa tukitumia diesel-electric locomotives na hata hizi 'high' speed trains viongozi wetu wanazoita SGR electric trains hazitumii umeme wa kwenye grid. Zinatumia diesel-electric traction. Ndiyo sababu Kenya inataka kuwa na fully electric trains ambazo ndizo zitakazojengewa substation na mradi wao mpya.
 
Tupatie source inayosema Kenya wanajenga. Asiwe Kenyanwallstreet
Hii statement siyo kweli. Huku East Africa tumekuwa tukitumia diesel-electric locomotives na hata hizi 'high' speed trains viongozi wetu wanazoita SGR electric trains hazitumii umeme wa kwenye grid. Zinatumia diesel-electric traction. Ndiyo sababu Kenya inataka kuwa na fully electric trains ambazo ndizo zitakazojengewa substation na mradi wao mpya.
 
Kuna watu ambao hawaonagi aibu bana. Yaani baada ya comment zote hizo za kitoto mwisho wake evidence wameitwaa mezani na bado mtu ana roho ya kurudi palepale? Ingekuwa ni mimi ningesepa kabisa hadi na username niitupilie kuule, afu nirudi jf upya! 😀😀😀😀😀
 
Why don't we achieve universal electricity connections before going electric on the rails? I know the last mile project is ongoing but we need assurance that this will not stop because we want an electric train.
 
niletee link usiniletee gazeti tafadhali
DVS1THSWkAErM-F.jpg:large

Unao ulemavu wa vidole kwani, Au umeketi mangweni na viroba, ingia youtube tafuta.....unachotaka hamna mtoto wa kike hapa kutoa amri zenyewe za kike!!!!
 
Kuna watu ambao hawaonagi aibu bana. Yaani baada ya comment zote hizo za kitoto mwisho wake evidence wameitwaa mezani na bado mtu ana roho ya kurudi palepale? Ingekuwa ni mimi ningesepa kabisa hadi na username niitupilie kuule, afu nirudi jf upya! 😀😀😀😀😀
national debt imefika ngapi sasa? 65% of urgency GDP?
 
national debt imefika ngapi sasa? 65% of urgency GDP?
Ni 56% set to reach 60% this year wacha kupika data for the sake of it na Kenya hatujawahi kukosa kulipa deni zetu huwa tunalipa ndo maana tunaendelea kukopeshwa.
...nyinyi imefikia hadi kuwaomba barclays pesa za sgr baada ya kila mtu kuwanyima kuanzia China,IMF, Zuma hamna anayetrust your capabilities to repay such loans
 
Back
Top Bottom