New Delhi: Kafulila ateta na Makamu wa Rais wa GMR, kampuni ya 5 kwa ukubwa duniani katika ujenzi na uendeshaji wa viwanja vya ndege na ndege duniani

Mwanahabari wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
1,588
Reaction score
956
IMG-20240930-WA0147(2).jpg
Katika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala ya miundombinu hiyo kuleta faida kwa Serikali na kuwahudumia Watanzania kinyume chake inatumia Kodi zetu kujiendesha.

Hatimaye Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi PPP Mhe David Zacharia Kafulila ametua nchini India na kukutana na Mkurugenzi mkuu wa kampuni kubwa duniani ya GMR inayojihusisha na maswala ya Viwanja vya ndege na ndege.

Hakika hii si afya kwa Taifa kutumia Kodi ya mwananchi ili kulipa mshahara wa mfanyakazi wa Airport wakati ndege zetu za ATCL kila mwaka zinatangaza kupata hasara kwenye hili nakuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan
IMG-20240930-WA0155.jpg
 
Tatizo la Kafulila ni uraia tu ila ni mtu mchapa kazi sana
 
Hivi kile kiwanja cha ndege cha Kibondo kinatumika kwa kazi gani? Sijawahi kuona ndege ikitua pale tangu ndege mbili za JW zilipoleta miili ya wanajeshi miaka ya 60. Kijengwe upya na kuboreshwa ili Air Tanzania zitue pale, kinaweza kutoa huduma kwa nchi jirani pia.
 
Screen shot apelekewe Mpango
 
Back
Top Bottom