Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
same here bro! I had no idea that road was under construction, I guess we are too fixed on Kenha(Highways) we forgot that Kura(Urban roads) and Kerra (Rural roads) are also building roadsHaiya. Hii mpya kwangu, I had no freaking idea of such a construction taking place. Ipo siku huu mji utatuchanganya hata kwa sisi wakazi wake, haswa kwa wale muda mwingi huwa tunafanyia kazi zetu nyumbani.
I remember my lawyer in Busia Town telling me, he can no longer drive in Nairobi. The roads have become too complex with too many exits and entries, he just calls an uber whenever he is in Nairobi.Haiya....hii mpya kwangu, I had no freaking idea of such a construction taking place.
Ipo siku huu mji utatuchanganya hata kwa sisi wakazi wake, haswa kwa wale muda mwingi huwa tunafanyia kazi zetu nyumbani.
I remember my lawyer in Busia Town telling me, he can no longer drive in Nairobi. The roads have become too complex with too many exits and entries, he just calls an uber whenever he is in Nairobi.
Kawaida sana
This problem of navigation will be compounded by the upcoming jkia-westands elevated highway (The first in east and central africa) which will join waiyaki way also coming up well into a 6 lanes highway (with multiple exits ,13 interchanges,9 underpasses,25 passenger overpasses, combined with 44 kilometers of service roads and 16 collector roads). It will also have interchanges in areas where it joins the completed southern bypass and red hill link road.Hehehe!! This happens even to some Nairobians too, especially those who don't move a lot.
Punguza sauti basi mzee....Utaiona kawaida maana umeghubikwa na majungu, ila kwa mkazi wa Nairobi ataishangaa maana hii tumeshtukizwa, watu wachache walikua wanafahamu kuhusu ujenzi wake, hii nchi kuna barabara nyingi zinajengwa kihivi, unakwenda sehemu na kushangaa kukuta barabara mpya imekatiza maeneo, hukuiacha na wala hukua na ufahamu wowote kuhusu ujenzi wake, wala hata mipango yake hukua nayo.
Ni kama urudi Dar baada ya mwezi mmoja ukute daraja limejengwa kutokea Magomeni hadi fire ili kuondoa zile kero zenu za pale Jangwani kila wakati mvua ikinyesha hata manyunyu, niliwahi kuishi hapo Magomeni, maeneo ya Usalama, ilikua ni kero mwanzo mwisho kila wakati mvua iliponyesha.
Naona unajaribu kupaka rangi hoja yako..hakunaga kitu kinaitwa surprise na haiwekani kila mtu akajua kila project inayoendelea...otherwise utakua huna kazi za kufanya..Tz Kuna barabara zinajengwa Hadi uchochoroni Sasa utakua ni unafiki kuja hapa na kuuanza kubrag kwamba Ni surprise sijui na vitu ganiUtaiona kawaida maana umeghubikwa na majungu, ila kwa mkazi wa Nairobi ataishangaa maana hii tumeshtukizwa, watu wachache walikua wanafahamu kuhusu ujenzi wake, hii nchi kuna barabara nyingi zinajengwa kihivi, unakwenda sehemu na kushangaa kukuta barabara mpya imekatiza maeneo, hukuiacha na wala hukua na ufahamu wowote kuhusu ujenzi wake, wala hata mipango yake hukua nayo.
Ni kama urudi Dar baada ya mwezi mmoja ukute daraja limejengwa kutokea Magomeni hadi fire ili kuondoa zile kero zenu za pale Jangwani kila wakati mvua ikinyesha hata manyunyu, niliwahi kuishi hapo Magomeni, maeneo ya Usalama, ilikua ni kero mwanzo mwisho kila wakati mvua iliponyesha.
Naona unajaribu kupaka rangi hoja yako..hakunaga kitu kinaitwa surprise na haiwekani kila mtu akajua kila project inayoendelea...otherwise utakua huna kazi za kufanya..Tz Kuna barabara zinajengwa Hadi uchochoroni Sasa utakua ni unafiki kuja hapa na kuuanza kubrag kwamba Ni surprise sijui na vitu gani
Barabara mpya imefunguliwa ... hata sikuwa na habari kuwa inaundwa...
Heko Jamhuri..
View attachment 1437835
Barabara mpya imefunguliwa, hata sikuwa na habari kuwa inaundwa.
Heko Jamhuri.
View attachment 1437835
Barabara mpya imefunguliwa. Hata sikuwa na habari kuwa inaundwa.
Heko Jamhuri.
View attachment 1437835
Hio bangi ya asubuhi itakuharibu kichwa. Jaribu ya usiku.Kawaida sana