mh....kafunika kitu gani....issue hapa people are calling a spade a spade bwana....hehehe English kwaKanumba ni issue and as long as he aspires to be the greatest actor and Director basi aache uvivu na ubishoo aende English course...hata Governor Arnold ni mgeni wa kiingereza lakini sababu career yake ilihitaji ajue lugha he took time and learnt.....Kanumba is no exception. i can't stp laughing coz wat he said is really hilarious hehehehehe........Na nyie kwa kutukuza uzungu!!
Yeye ni mzawa kiingereza cha nini bana Mbona Bush kaja kachemka kuongea Kiswahili.
Bravo Kanumba kwa kufunika kwenye jumba la kaka Mkubwa.
Wadau hii nimeinyaka leo toka radio moja al maaruf:
Title: Kanumba ndani ya Big Brother
BB: Kanumba,do you have a girlfriend?
Kanumba: Yes,I have one girlfriends
BB: What is her name?
Kanumba: Her name is Kind Sepetu.She throw stone to my car window and my car window is broken,so I close her in Police Station,so dont be celebrity like her be celebrity like me
BB: Why are you not eating?
Kanumba: I close eating,so cook me at evening for me to open eating.
Mtangazaji kamalizia kwa kusema "hii ndiyo kanumbarization ya kiingereza"!
Hebu m-mwage huyo mkubwa hata kwa mafumbo tuta decode!du! ndo vijana wetu hawa.
halafu eti mi super star!!!
pumbavu sana, kingereza ovyo, yaani basi tu.
tunae mwingine tena mkubwa sana nchi hii nae ngeli haipandi
Na nyie kwa kutukuza uzungu!!
Yeye ni mzawa kiingereza cha nini bana Mbona Bush kaja kachemka kuongea Kiswahili.
Bravo Kanumba kwa kufunika kwenye jumba la kaka Mkubwa.
Hata kwa viewers, atapata wakato mgumu sana mpaka wamkubalitusimlaumu kwa kutudhalilisha, tuwalaumu waliompeleka huko, yani aibu sana bora mwaka huu kusiwe na mshiriki maana atakuwa na wakati mgumu sana kutoka kwa washiriki wengine
yaani kanumba na kayumba the same sio?