kikaango
Member
- Sep 2, 2009
- 18
- 0
jamani mwogopeni Mungu, mwenzenu anajitahidi, ilaumuni hii nchi kwa mfumo mbaya wa elimu.
Leo nilikuwa naangalia evaluation form za walimu walizojaza baada ya workshop ni aibu jamani, hii nchi inahitaji maombi, hiyo lugha iliyoandikwa humo, nimebaki kusema , OMG sasa kama watoto ndo wanafundishwa na wlimu kama hawa, ni taifa gani tunajenga kwa kizazi hiki na utandawazi huu!
Na wewe ndo pumbafu kabisaaaaaaaaaa nani kakuambia elimu ni kujua kiingereza? wee ndo umefulia kabisa lione ndo maana hujui kusoma weye, sasa sisi tunaoongea kifaransa, kispanish na kiitaliano pamoja na hiyo kiingereza chako na hatujamaliza hata form four ndo tuonekane wasomi sana? Jiandae ndo utoe maoni