ukiona mwanaume kaweka gari yake barabaran na inafanya biashara ujue anapambana sana , we endele tu kuchagua na kusema ile gari sipandi imechoka ila gharama za uendeshaji na changamoto zake siyo za mchezo mchezo Dar Lux amevuta handbrake katafuta kivuli apumzike kwanza