#COVID19 New Jersey Marekani: Watu 50 waliopata chanjo yote ya Covid 19 wafariki kwa Covid 19

#COVID19 New Jersey Marekani: Watu 50 waliopata chanjo yote ya Covid 19 wafariki kwa Covid 19

Hivi wewe ni lingumbalu la wapi wewe? Pumbvu kweli.
Watu wanachanjwa na wataendelea kuchanjwa and there is nothing you can do about it! Mpaka Hapo tu unapaswa ujione f.a.a.l.a!
 
Watu wanachanjwa na wataendelea kuchanjwa and there is nothing you can do about it! Mpaka Hapo tu unapaswa ujione f.a.a.l.a!
Wewe ni pumbavu. What do you know about research and long term impacts? Pumbavu ishia hapo kwa kuwa mimi si kiwango chako. Pumbvu sana.
Wewe kula ukitaka unywe na si upumbvu wkao kutaka watu wote wafuate. Kwa akili zako zinaozishia kweney domo lako, you think , nothing I can to about it. Akili fupi sana. Wewe subiri uone mziki wake. Pumbavu.
 
Watu wanachanjwa na wataendelea kuchanjwa and there is nothing you can do about it! Mpaka Hapo tu unapaswa ujione f.a.a.l.a!

Wewe ndiye fala, unayekwenda kama nyumbu, usiye nakichwa cha kufikiri badla yake unatumia makalio.
Ujinga na upumbvu ndio unakufanya uwe kafara la kuondolewa uahi huku likipiga makofi. Sawa na yale majitu yalikuwa yakizikwa na wafalme wakifa yameshika vibuyu vya pombe eti yatakuwa yankunywa na mfalme. Pumbavu soma hapa.

Wewe ni pumbavu. What do you know about research and long term impacts? Pumbavu ishia hapo kwa kuwa mimi si kiwango chako. Pumbvu sana.
Wewe kula ukitaka unywe na si upumbvu wkao kutaka watu wote wafuate. Kwa akili zako zinaozishia kweney domo lako, you think , nothing I can to about it. Akili fupi sana. Wewe subiri uone mziki wake. Pumbavu.
Jana ilikuwa siku mbaya sana kwako kusikia mzigo umetua Bongo na wataanza na ma.ma.ko si unajua aged ndiyo preference!
 
Usibadili agenda. Hoja siyo kufa. na hakuna chanjo ya kifo, na hawakuchanjwa ili wasife.

POINT NI HII.

"WOTE 50, WALICHANJWA FULL DOZE YA KINGA Y A CORONA, WAMEKUFA KWA CORONA"

Wewe unasemaje hapo?
Ungekua umesoma habari hiyo usingekuja na hiyo comment. Wanasema hivi kati yao hao 49 walikufa, 30 walikua kati ya miaka 80 na kuendelea, 13 walikua kati ya 65 hadi 79, na 6 walikua kati ya miaka 50 hadi 64.

Pamoja na huo umri wanasema hivi hao waliokufa walikua na magonjwa mengine yaliokua yanawasumbu ambayo kimsingi huwa yanaathiri kinga ya mwili, 17 kati yao walikua na tatizo la moyo, 9 walikua na cancer, na 17 wengine walikua na kisukari.

Unajua kushindana na mtu anayeweka data ni ngumu sana aisee. Na hayo yamesemwa na mtu wa serikali ya marekani katika kitengo cha afya.

Mwisho ni kwamba kwa sababu sie ni wavivu na ni watu wa mapokeo, hatujui madhara ya chanjo zote au dawa yoyote huwa yanafanana. Nenda katima wodi ya watoto kaangale ni wangapi wanakufa baada ya kupigwa chanjo na wanapandisha homa hadi umauti wao.

Nenda hospitali yoyote ambayo ni kubwa katika wodi za kina mama upewe data wangapi wanakufa kwa siku baada ya kupigwa hizo chanjo za watoto. Na je umewahi kusikia kelele yoyote? Wewe mwenyewe una michanjo ambayo mpaka leo inatoka nje ya nchi lakini unadunda na na kutype tu hapa.
 
Angalia na hii mkuu. halafu uyaache mipumbavu siyojua kitu ikishabikia biashara za watu.

Siwezi hata poteza Mda wangu kuchanja. Nitaishi na sitokufa na by the way siogopi hata kufa
 
Jana ilikuwa siku mbaya sana kwako kusikia mzigo umetua Bongo na wataanza na ma.ma.ko si unajua aged ndiyo preference!

Do you thnk I am at that level? Wewe ni mavi tu huko kichwani. I am not iinto that idiot!.
 
TUKACHANJE. TUACHE PROPAGANDA DHAIFU.

Americans waliochankwa kwa uchangamfu, mlihamasika hadi mkawomna Magufuli hafai. Leo wanaongea habari za madhara yanayowakuta, bado mmkariri. Hii ni nini kama siyo zaidi ya nyumbu?

Look here.

Maana yake wanafanya propaganda dhidi ya nani? Sikio la kufa?
 
Huko New Jersey Marekani, watu 50 ambao wamepata chanjo yote ya Covid 19, yaani wamepata chanjo zote 2 wamefariki kwa Covid 19.

Hivyo kupata chanjo haina maana kua hautaugua covid 19 na haina maana kwamba hutafariki kwa Covid 19.

Ndio maana ukisoma ile form ya kupata chanjo ya serikali, serikali imejitoa kwa yoyote yatakayokukuta ukipewa chanjo usije kuilaumu wala kuishtaki.

Soma zaidi hapa.
Kwa ufahamu tu, sidhani kama ipo chanjo inayotoa ulinzi (protection) kwa asilimia 100.
 
Chanjo zimesaidia sana kupunguza maambukizi ná vifo katika nchi nyingi za Magharibi. Pamoja ná hayo bado kwa wale wenye chronicle diseases ni lazima wajikinge vinginevyo watapata maambukizi ná kufa ukilinganisha ná wale wenye afya njema ná wamepata chanjo zote. Hawa hata wakipata maambukizi basi ni ugonjwa mdogo sana kwao hauhitaji kulazwa hata uwezekano wa kifo ni mdogo sana.
Acha kujifanya daktari bwana mkubwa!

Ati chronicle diseases! Mbona hawakufa mwanzo!

Kujitia tia tu udaktarii.... YAAANIII...

Haya machanjo ni SUMU, na lazima watanzania waambiwe ukweli.
 
Huko New Jersey Marekani, watu 50 ambao wamepata chanjo yote ya Covid 19, yaani wamepata chanjo zote 2 wamefariki kwa Covid 19.

Hivyo kupata chanjo haina maana kua hautaugua covid 19 na haina maana kwamba hutafariki kwa Covid 19.

Ndio maana ukisoma ile form ya kupata chanjo ya serikali, serikali imejitoa kwa yoyote yatakayokukuta ukipewa chanjo usije kuilaumu wala kuishtaki.

Soma zaidi hapa.
Hii source yako mbona haina tofauti na Tanzanite TV au Carrymaatory
 
Mimi kwa ufahamu wangu sitachoma hii kitu nitazingatia taratibu zilizowekwa na WHO usafi,barakoa na social distance naamini hili wimbi likipita ugonjwa utaisha
Huna hata haja ya kuvaa barakoa.

Huu ugonjwa ni maigizo.

Mimi mwanzo nilinunua libarakoa lakini baadae nilipopewa maarifa nikalitia kiberiti.
 
Hebu tujiulize kwanini hii chanjo tu ndo inapigwa vita?mimi napata jibu moja kuifanya iwe "Mandatory"....That is what so 'sus' about it...jana nimeona live streams kibao za maandamano Europe nzima kuhusu mandates Ufaransa et al...
 
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 MAZWAZWA bhanaaa huhitaji kuwa daktari kujua prons and cons za COVID-19 ná hakuna popote pale ambapo niliwahi kusema kwamba mimi ni daktari lakini pamoja nabkuwa mimi si daktari sioni ubaya wowote wa kushare ná kadamnasi ya JF kile nilichojifunza kwa kuwasikiliza wataalamu mbali mbali duniani wa hii PANDEMIC. Acha KUKURUPUKA ná kuonyesha ujuha wako hadharani JIONGEZE!!!

Acha kujifanya daktari bwana mkubwa!

Ati chronicle diseases! Mbona hawakufa mwanzo!

Kujitia tia tu udaktarii.... YAAANIII...

Haya machanjo ni SUMU, na lazima watanzania waambiwe ukweli.
 
Mkuu BAK, ngoja nikuulize swali, wewe tokea ulipopata chanjo ya kifua kikuu (TB) ukiwa mdogo(BCG), je, uliambiwa itabidi utembee na barakoa na kuepuka mikusanyiko maisha yako yote ili kuepuka uwezekanao wa kupata maambukizi ya TB!?

Naomba unijibu.
Ukweli MTUPU! Watu wengi wana magonjwa mbali mbali ya muda mrefu. Hivyo wao kupata chanjo haina maana waache kuchukua tahadhari zote za kujikinga kwani kutojikinga ni kukaribisha maambukizi na hatimaye vifo.
 
Wataalamu wa PANDEMIC DISEASES Mkuu hawakurupuki kutoa matamko yao. Wanafanya TAFITI zinazowasaidia kutoa matamko yao. CHUKUA TAHADHARI ZOTE Mkuu.

C8E307C4-147D-47B1-8FA9-67F2BBA03A6F.jpeg

Back
Top Bottom