#COVID19 New Jersey Marekani: Watu 50 waliopata chanjo yote ya Covid 19 wafariki kwa Covid 19

Kwahiyo BAK kwa wasio na hayo magonjwa chronicle, hii chanjo haiwazuii kifo ila uwezekano wa kifo ni mdogo sana kwao
 
Huo ndio ukweli. Si umeona WHO wameomba kurudi tena China kufanya uchunguzi zaidi wa chanzo cha COVID-19 wachina wanakataa .
Vip hali ya china huko? Wao ugonjwa huu umekaaje huko, umeisha au bado unakula watu kama huku?
 
Leusner also said many of the people who died had preexisting conditions. Seventeen people had cardiovascular disease, nine had cancer or other conditions that compromised their immune systems and seven had diabetes, the news outlet reported. Others had chronic conditions in the lungs, kidney and liver.
 
Mkuu hakuna cha optional, kuna siku itakuwa lazima. Hii ni starter tuu mlo kamili unakuja. Leo rais wa ufaransa kawatangazia wafaransa asiyechanjwa hakuna kusafiri toka point a hadi b, hata supermarket huruhusiwi kuingia
Yule mwamba aliyempiga kofi alitakiwa ampige ngumi.
 

Hawa watu ni mabingwa sana ku-manufacture visingizio mbali mbali visivyo kuwa na mantiki kabisa!! Ukweli wa mambo teknilojia iliyo tumika kuzakisha chanjo hizo hajawahi kutumika kuzalisha popote Duniani kuzalisha chanjo - chanjo zote uzalishwa kwa njia ya asili na sio hizi wanazo tinker around na genes ndio maana zinajukikana kama experimental vaccines hazijapitia kwenye mchakato/majaribo ya kina, hakuna chanjo inaweza kufanyiwa majaribio ndani ya miezi sita au mwaka mmoja halafu mkazuga watu kwamba chanjo hizo ni balabala kumbe wame cut corners ili wawahi kuiingiza sokoni.

Hii haishangazi ndio maana chanjo hizo zimekatisha maisha baadhi ya watu walio chanjwa na wengine kupata vilema vya kudumu. Cha ajabu chanjo zinazo zalishwa kwa teknolojia ya asili ni salama i.e hazileti madhara wala kuua watu - chanjo zinazo zalishwa Uchina na Urusi zinatumia nyia ya asili ndio maana watumiaji wa chanjo hizo popote Duniani hakuna aliye poteza maisha au kupata kilema cha maisha - what does that tell you??

Binafsi naona kuna ulazima wa mataifa yote Duniani wajiunge pamoja washinikize WHO wasitishe chanjo hizi za magharibi mara moja mpaka zifanyiwe uchunguzi na utafiti wa kina kabla hazijaruhusiwa kutumika tena - tusipo kuwa macho/makini chanjo hizi zinaweza kuiiletea Duniani majanga ambayo hayakutegemewa unless kama wahusika walikuwa na ajenda za ziada - who knows?
 
Hakuna aliezungumzia chanjo ya kuzuia kifo, tunazungumzia chanjo ya covid kukukinga wewe usife kwa covid, sababu nyingine za kifo ziko pale pale.
Nimeongeza pia "correlation is not causation".

Ukichanja watu milioni moja chanjo ya Covid, kuna wengine hapo ilikuwa wankufa kwa magonjwa mengine, tofauti kabisa na Covid.

Wakija kufa kwa magonjwa hayo, mara baada ya kuchanjwa chanjo ya Covid, moja kwa moja watu wanahusisha vifo vyao na chanjo ya Covid.

Unajuaje kwamba wamekufa kwa chanjo ya Covid na si kitu kingine?

When you are vaccinating millions of people, many of them with advanced age, statistically, some of them will die regardless of the vaccine.

So, how do you separate these from vaccine/ Covid related deaths?

Kwenye vifo vya Covid kwa waliochanjwa, latest data ni kwamba, zaidi ya 97% ya watu wanaolazwa hospitalini sasa kwa Covid Marekani ni wale ambao hawajachanjwa.

Na zaidi ya 99% wanaokufa kwa Covid Marekani sasa ni wale ambao hawajachanjwa.

Vaccines work.Where risk factors are a concern, they should be mitigated on a case by case basis.

The numbers speak for themselves.

Soma zaidi hapa Nearly all COVID deaths in US are now among unvaccinated
 
Nimejuaje wamekufa kwa covid, ni hiyo habari ndio inasema wamekufa kwa covid pamoja na kwamba walikua fully vaccinated.

Taarifa haisemi kama wamekufa kwa magonjwa mengine, inasema wamekufa kwa covid.
 
 
Nimejuaje wamekufa kwa covid, ni hiyo habari ndio inasema wamekufa kwa covid pamoja na kwamba walikua fully vaccinated.

Taarifa haisemi kama wamekufa kwa magonjwa mengine, inasema wamekufa kwa covid.
Habari inasema walikuwa na pre existing conditions.Unajuaje kilichowaua ni Covid na si hizo pre existing conditions?

Chanjo ina maangalizo kuhusu watu wenye pre existing conditions na compromided immunity. Maangalizo hayo yalifuatwa?

Ukitumia IPad kuangalia porno ukapata virus IPad ikafa hutakiwi kusema hii IPad ni mbaya. Wewe ndiye umeitumia vibaya.

Habari imeweka wazi kulikuwa na pre existing conditions.

Soma hapa chini.

Leusner also said many of the people who died had preexisting conditions. Seventeen people had cardiovascular disease, nine had cancer or other conditions that compromised their immune systems and seven had diabetes, the news outlet reported. Others had chronic conditions in the lungs, kidney and liver.

The number of vaccinated people who have died from COVID-19 represents a slight uptick since New Jersey Gov. Phil Murphy (D) announced on Monday that 31 inoculated people had died from the coronavirus, according to NJ Advance Media.
 
Kadri navyosoma comments za watu humu wanavyojaribu kuliweka sawa hili jambo ndivyo navyozidi kuona utata wa vifo vinavyoitwa vya corona.
 
Ukweli MTUPU! Watu wengi wana magonjwa mbali mbali ya muda mrefu. Hivyo wao kupata chanjo haina maana waache kuchukua tahadhari zote za kujikinga kwani kutojikinga ni kukaribisha maambukizi na hatimaye vifo.

Ukisoma hiyo report hata kusingekuwa na covid hao wagonjwa wangekata KAMBA imagine mtu ana umri zaidi ya 80 halafu awe na cancer.
 
Reactions: BAK
You have a point. But only this could be possible if there was no hidden agenda behind all this man made named pandemic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…