#COVID19 New Jersey Marekani: Watu 50 waliopata chanjo yote ya Covid 19 wafariki kwa Covid 19

#COVID19 New Jersey Marekani: Watu 50 waliopata chanjo yote ya Covid 19 wafariki kwa Covid 19

Hapo propaganda ipo wapi? Hiyo habari imeripotiwa huko US ambako wao wanaamini chanjo, Sasa iweje Tena useme propaganda?
Hapo umepewa tu tahadhari kuwa chanjo haizuii corona wwla haizuii wewe kufa kwa corona.
Ila wewe jamaa ni fala Sana na mjinga mkubwa
Mbona hata sulphur ina reaction?
Kuna watu lazima watapata madhara kwa sababu sana complications. Usijitoe ufahamu
 
Una uhakika kachomwa kitu gani? Inaweza kuwa maji tu ili Ku promote hizo chanjo.
Naona uvivu hata kukujibu.
Kama hataki chanjo usiende kuchomwa. Sio lazima aende ila msianzr kukata uzushi kuwa chanjo ni mbaya ili hali mna maalama ya ndui na hamjafa
 
Mie nimepata chanjo zote mbili toka February lakini bado navaa barakoa. Ni chaguo lako kwani huu ugonjwa umetengenezwa China na sijui kama bahati mbaya au maksudi umeletwA kutupunguza duniani.
Hebu tupe uzoefu wa vijiko kunasia mwilini tafadhali.
 
Ukweli MTUPU! Watu wengi wana magonjwa mbali mbali ya muda mrefu. Hivyo wao kupata chanjo haina maana waache kuchukua tahadhari zote za kujikinga kwani kutojikinga ni kukaribisha maambukizi na hatimaye vifo.
Umejibu vyema..
 
Well explained.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Naona uvivu hata kukujibu.
Kama hataki chanjo usiende kuchomwa. Sio lazima aende ila msianzr kukata uzushi kuwa chanjo ni mbaya ili hali mna maalama ya ndui na hamjafa
Ndio maana nimesemaa wewe huna akili.

Ulishawahi kusikia mtu mwenye chanjo ya ndui amekufa kwa ndui? Sasa una chanjo ya corona halafu ufe kwa corona, kichwani una mavi wewe.
 
Mitanzania bana. Chanjo hamtaki na hamsemi tutumie nini ili koona isitumalize.
 
Polio vaccine protects you 100% from getting polio (checked[emoji3581]).

But according to the official reports, with the covid-19 vaccines you still can get infected and be a spreader.

Why should you force something which is not working ?
Mbona hata sulphur ina reaction?
Kuna watu lazima watapata madhara kwa sababu sana complications. Usijitoe ufahamu
 
Wambieni serikali sasa itangazwe rasmi kwamba tunatumia nyungu sisi hatuamini njia za kisayansi.
Chanjo zimeletwa kwa mnaoamini, na watu wa vipato vya kati na vikubwa (wanaoishi kizungu) ....ila wananchi mfano wa kariakoo ama walioko kigoma leo kwenye mechi sisi ni nyungu na malimao tu
 
Back
Top Bottom