Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mbona hata sulphur ina reaction?Hapo propaganda ipo wapi? Hiyo habari imeripotiwa huko US ambako wao wanaamini chanjo, Sasa iweje Tena useme propaganda?
Hapo umepewa tu tahadhari kuwa chanjo haizuii corona wwla haizuii wewe kufa kwa corona.
Ila wewe jamaa ni fala Sana na mjinga mkubwa
Kuna watu lazima watapata madhara kwa sababu sana complications. Usijitoe ufahamu