New Jersey: Mwalimu aliyeumbika awa gumzo wazazi wawaka wataka afukuzwe

New Jersey: Mwalimu aliyeumbika awa gumzo wazazi wawaka wataka afukuzwe

Vladivostok

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2022
Posts
307
Reaction score
1,387
Mwalimu mmja huku new Jersey awa gumzo kutokana shape yake wazazi wawaka wataka afukuzwe wadai anawachanganya watoto wakimuona huku wengine wakimtetea asifukuzwe Ila avae nguo za heshima.
FB_IMG_16615817385277086.jpg
 
mzabzab na Behaviourist wangefundishwa na huyu mwalimu, haki ya nani wangepata 0 kwenye somo lake. 😁😁😁
I diasgree....nakumbuka mie nilivyokuwa mtoto nilikuwa na fundishwa english na mwalimu who i found very attractive....nilikuwa nina hamu sana ya kwenda shule so that i could just see her....na kwa kweli english ilikaa kwenye mstari yaaani in short, my proficiency in english is all down to her beauty and teaching skills.
 
Back
Top Bottom