Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya 2020 kama hii nshapishana nayo moja mbonaMpaka ifike Tz miaka 5 baadae iko poa sana
Hivi mkiingia uchumi wa Kati hamnaga kutoka, eti ehh?Ya 2020 kama hii nshapishana nayo moja mbona
Watu wanavuta tu kiongozi tumeshaingia uchumi wa kati😃😃😃😃
Ila bongo tumefikaje uchumi wa kati huku magari 90%ni mitumba,wenzetu kenya hizi defender zipo nyingi huku kwetu hata 4 sidhani kama zipo ina maana hata serikali imezigwaya!
Tulipika takwimu, fulu sutopuIla bongo tumefikaje uchumi wa kati huku magari 90%ni mitumba,wenzetu kenya hizi defender zipo nyingi huku kwetu hata 4 sidhani kama zipo ina maana hata serikali imezigwaya!
Duuu utakimbiaBei tafadhali.. inakalia shilingi ngapi za Tz
yaani grenadier wametoa picha jinsi defender series ingetaikiwa iwe.Achana na huo upuuzi wametupiga tu hii hapa Ineos grenadier the real defender replacement View attachment 1851575View attachment 1851576
Bali ni nn mkuuLandrover defender siyo gari
Mkuu yani ukiwa billionaire unaweza kutengeneza dunia yako huyo CEO wa ineos grenadier inasemekana defender ndio dream car kwake alivyoona land rover wamezingua akaamua ku create ya kwake legacy iendelee.yaani grenadier wametoa picha jinsi defender series ingetaikiwa iwe.
so sad land rover wana deviate kutoka kwenye line wanaelekea mwendo wa discovery.
Ila i.esimama balaa kuliko hata 110 yenyeweMkuu yani ukiwa billionaire unaweza kutengeneza dunia yako huyo CEO wa ineos grenadier inasemekana defender ndio dream car kwake alivyoona land rover wamezingua akaamua ku create ya kwake legacy iendelee.
yaan amefanya vizuri. haiwezekani iconic 110 ipotee kirahis hivi.Mkuu yani ukiwa billionaire unaweza kutengeneza dunia yako huyo CEO wa ineos grenadier inasemekana defender ndio dream car kwake alivyoona land rover wamezingua akaamua ku create ya kwake legacy iendelee.