New Land Rover Defender 130 model 2021

New Land Rover Defender 130 model 2021

yaani grenadier wametoa picha jinsi defender series ingetaikiwa iwe.
so sad land rover wana deviate kutoka kwenye line wanaelekea mwendo wa discovery.
LR wanafeli, discovery zenyewe kwa mtu ambae si mfuatiliaji wa gari utasema ni range rover...
59d658de351ccf89468b7ea3
 
Badala ya kuweka Manual gear box kama defender wamekuja kuweka gear box za bmw.
Mkuu utakuwa unazungumzia gari moja toka Russia inaitwa Lada Niva
Haina air condition
Vioo unashusha manually
Haina airbags
Lakini ni roho ya paka kwa mujibu wa watumiaji...
301549-Truck-mud-dirty-water-LADA-lada_niva.jpg
 
Gari ya wanaume.... uongo mbaya kuna gari akiendesha mwanamke lazima umuangalie mara mbili mbili mfano 110...
Hawa jamaa wamempiga MF Land Rover...
Hizi gari ukiendesha kuna image fulan ya masculinity unaonyesha mi napenda wanawake independent sana nikiona pisi ina push ndika kama hizi namuona hot sana.
 
Gari zipo mtaani we unasema production inaanza mwaka huu? Arusha nimekutana nazo 2 hizi.
Land Rover plans to remedy the cramped back seat by introducing the Land Rover Defender 130 by the end of 2022. The Land Rover Defender lineup is currently made up of the two door Defender 90 and the four door Defender 110, that offers an unrealistically small third row seat as an option.30 Mar 2021
 
Nadhani hapo kwenye 130,90,110 alikuwa hajachanganua msamehe[emoji38]
 
Hahahaha alidampugi sijui wapi bana maana ilikuwa 80’s maza alipata nayo ajali!
Mkuu interest za magari umezitoa kwa mzee...
Miaka ya 80's kwa kijana kutoa gari urusi sio poa...
Mzee wako ana passion na magari pia i guess....
 
Back
Top Bottom