BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Hao walishachafuka...labda iwe zama zingine....maneno yangu sio sheria watch this space.Kuna hizo nafasi mbili za juu kabisa ziko wazi nchini. Naona vijana wawili robust ambao they could fit katika yoyote.
1. Nehemia Mchechu
2. Lawrence Mafuru
Nawakilisha
Ndio uone akili zetu sasa....unajua mtu ana tuhuma ingawa bado michakato ya kiutawala inaendelea, unakurupuka na kutoa ushauri kua wanafaa..hii akili gani!???Mafuru si ndiye alikua NBC akaondoka enzi hizo inataka jifia kabla haijauzwa kwa wasauzi?
Mchechu ana uhujumu uchumi na kuisababishia harasa NHC hatoki leo wala kesho
Hawa watu wako hawana jipya...kama unawapenda waajiri nyumbani kwako..salute Mh Rais JPM kwa kuliona hilo....Kuna hizo nafasi mbili za juu kabisa ziko wazi nchini. Naona vijana wawili robust ambao they could fit katika yoyote.
1. Nehemia Mchechu
2. Lawrence Mafuru
Nawasilisha
Hivyo vyeo sio singeliKelvin Twissa...