New MD for CRDB and CEO for Vodacom

New MD for CRDB and CEO for Vodacom

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
776
Kuna hizo nafasi mbili za juu kabisa ziko wazi nchini. Naona vijana wawili robust ambao they could fit katika yoyote.

1. Nehemia Mchechu
2. Lawrence Mafuru

Nawasilisha
 
Kuna hizo nafasi mbili za juu kabisa ziko wazi nchini. Naona vijana wawili robust ambao they could fit katika yoyote.

1. Nehemia Mchechu
2. Lawrence Mafuru

Nawakilisha
Hao walishachafuka...labda iwe zama zingine....maneno yangu sio sheria watch this space.
 
Mafuru si ndiye alikua NBC akaondoka enzi hizo inataka jifia kabla haijauzwa kwa wasauzi?

Mchechu ana uhujumu uchumi na kuisababishia harasa NHC hatoki leo wala kesho
 
Mafuru si ndiye alikua NBC akaondoka enzi hizo inataka jifia kabla haijauzwa kwa wasauzi?

Mchechu ana uhujumu uchumi na kuisababishia harasa NHC hatoki leo wala kesho
Ndio uone akili zetu sasa....unajua mtu ana tuhuma ingawa bado michakato ya kiutawala inaendelea, unakurupuka na kutoa ushauri kua wanafaa..hii akili gani!???
 
Filbert Mponzi...

10570418_593782224065550_5336031393577397728_n.jpg
 
CEO wa safari com hana hata degree... wewe unapendekeza wezi waongoze biashara za watu
 
Hivi ni kipi kigumu kuyaongoza makampuni hayo? Mi naona yeyote ambaye ni open minded anaweza kuyaongoza!
 
Vijana hawa wawili ninawaamini sana ni wachapakazi ila sasa sijaelewa ibilisi waliposimamia. Ningetambani kama wangefutiwa mafaili yao ili waanze maisha upya na ninaamini watakuwa wazuri sana. I salute you Mafuru na Mchechu
 
Au mnataka Mpaka awe PHd ndio aongoze?

natumaini Mtu yeyote hapa Nchini mwenye open midended and exposure/experiences kwenye hiyo industry anaweza fanya vema sana...
 
Kuna hizo nafasi mbili za juu kabisa ziko wazi nchini. Naona vijana wawili robust ambao they could fit katika yoyote.

1. Nehemia Mchechu
2. Lawrence Mafuru

Nawasilisha
Hawa watu wako hawana jipya...kama unawapenda waajiri nyumbani kwako..salute Mh Rais JPM kwa kuliona hilo....
 
Back
Top Bottom