New member for JF

Tiba Lishe

Member
Joined
Jan 17, 2020
Posts
11
Reaction score
12
Wakubwa zangu shikamooni, wengine wote za asubuhi.

Ndio mara yangu ya kwanza kupata ID ya JF nimeona niwasalimu na . Naombeni ushirikiano wenu, nimepata ID ila JF nimeijua tangu mwaka 2016 sema sikuwahi ona umuhimu wa kuwa na ID hivyo mimi ni mgeni mwenyeji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau matumizi ya nukta na mkato kwenye nyuzi zako....
 
Hata leo pia ni weekend nawe sikuoni [emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko hapa mimi jamani...

Wewe unafichwa saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…