Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Choon hakujafagiliwa mindo kiranja wa humuwakuu mimi ni member mpya naomba munikaribishe kwa moyo mkunjufu
Ahaaà haaaSharti la kwanza hapa ukiwa mgeni ni lazima uweke picha yako full
Krbwakuu mimi ni member mpya naomba munikaribishe kwa moyo mkunjufu
wakuu mimi ni member mpya naomba munikaribishe kwa moyo mkunjufu
Ugumu wake nn sasaDuuh haya dadaangu .nimekuelewa but ni ngumu kutekeleza hilo!
Togwa ndo mzuka lol kumbe sijaulizwa mmKaribu sana Mkuu, karibu mpaka ndani. Hapo kwenye fridge pembeni kuna vitafunwa na vinywaji baridi mbali mbali ikiwemo togwa. Chagua uvipendavyo ujichane kwa raha zako.
Togwa ndo mzuka lol kumbe sijaulizwa mm
Waifahamu lkn BAK?Acha kabisa utamu wa togwa 😛😛😛