new member here

new member here

Karibu ndugu

sending using jamiiforum makinikia
 
Karibu sana Mkuu, karibu mpaka ndani. Hapo kwenye fridge pembeni kuna vitafunwa na vinywaji baridi mbali mbali ikiwemo togwa. Chagua uvipendavyo ujichane kwa raha zako.

wakuu mimi ni member mpya naomba munikaribishe kwa moyo mkunjufu
 
Karibu sana Mkuu, karibu mpaka ndani. Hapo kwenye fridge pembeni kuna vitafunwa na vinywaji baridi mbali mbali ikiwemo togwa. Chagua uvipendavyo ujichane kwa raha zako.
Hahaha kaka ahsante sana!
 
Karibu sana Mkuu, karibu mpaka ndani. Hapo kwenye fridge pembeni kuna vitafunwa na vinywaji baridi mbali mbali ikiwemo togwa. Chagua uvipendavyo ujichane kwa raha zako.
Togwa ndo mzuka lol kumbe sijaulizwa mm
 
Jina lako nani?
Unatokea wapi?
Jinsia yako?
Umri wako?
NB :karibu!
 
Back
Top Bottom