New member humu..nisome

New member humu..nisome

Mkewane

Member
Joined
Dec 11, 2016
Posts
13
Reaction score
12
Nipokeeni member mpya..lakini ni mtumiaji wa jamii forum tangu 2010
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
kwa jina gani mkuu
Screenshot_20220509-114800_Edge.jpg
 
Karibu Sana Ila usije ukaanza kutukana kaka zako, Mada kama hujailewa au mtu kakuuzi mtimbie pm mmalizane, nakusihi usilete ujuaji mkuu.
 
Mkuu mbona ulishajiunga 2016 jana unasema member mpya,
Cha ajabu ana trophy point chache sana! Sijui alikuwa anafanya nini muda wote! Hiyo account ingelikuwa yangu, ningelikuwa level ya wakina Bujibuji [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom