New member ndani ya ''jf''

New member ndani ya ''jf''

Mwankusye Ticko

New Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Ni mgeni ndani ya ''JF'' naomba mnipokee kwa mikono miwili!!!! :biggrin:Am so kind and good if you act the same but kama utakuwa tofauti then ntakuwa tofauti pia:frusty:....coz am kinda straight to me ''a hoe is a hoe and not big knife''
:shut-mouth:
#Legoooooo:amen:
 
gwe Tiko gwe, keta uli na maneno mingi fijho...
Karibu sana JF...
 
Kuna mitaa mingi sana kwenye jamii hii usikose kutembelea Mtaa wa Wajasiriamali, Karibu mgeni wetu, mgeni njoo wenyeji tupate mambo mapya !!
 
Back
Top Bottom