Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu MkuuHabari zenu wakuu, wakubwa shikamoo, wadogo zangu mambo niaje
...
Kwa miezi ya hivi karibuni (sept,oct,nov,dec 2024) nimekuwa mfatiliaji mzuri tu wa majukwaa ya JF, ilianza kwa kusearch "Elimu Tanzania" kwenye opera mini na kiswaswadu changu haha, zikaja results za JF asee tokea siku hio imekuwa kama addiction I must open JF kila siku
...
Mwanzo sikujiunga ila leo nimejiunga niwe member rasmi, navutiwa na baadhi ya members kama:
Robert Heriel Mtibeli
Mshana Jr
raraa reree
patrickk
Evelyn Salt
Joanah
Na wengineo wengi
JF ni kisima cha maarifa mitandao mingine inabidi ifutwe haha(joking...)
Natumaini kupata karibu zenu asanteni sana
we ni bro kweli ama?! 😳Watakuja kusema wewe ni bro Evelyn Salt
Fantasy world!! imagination not really!!Bado nafikiria kwanini ulisema wa kufikirika [emoji17]