new member

new member

Karibu sana mr. Themason

Alafu hii post yako haiendani na furum husika, ila kwakuwa wewe mgeni haina shida.

Alafu kama hutojari napenda kufahamu ni kwanini unajiita themason?
 
New member mbea wewe!si ungeiweka hii post jukwaa la utambulisho
 
Karibu ila weka picha yako hapo then mambo yawe mswano
 
Karibu sana mr. Themason

Alafu hii post yako haiendani na furum husika, ila kwakuwa wewe mgeni haina shida.

Alafu kama hutojari napenda kufahamu ni kwanini unajiita themason?
mkuu! mgeni ajaomba maji kashaanza kula za usoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf forever
 
Karibu sana mr. Themason

Alafu hii post yako haiendani na furum husika, ila kwakuwa wewe mgeni haina shida.

Alafu kama hutojari napenda kufahamu ni kwanini unajiita themason?
hahaaa...ahsante kaka kwa kunijulisha afu vp kwan umeelewa nn kuhusu TheMason au umeelewaje
 
Back
Top Bottom