johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
Nikukumbushe tu hili ni jukwaa la GTs, hata handwriting yako inawezesha kukufahamu, karibu tenanitakuwa nn[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikukumbushe tu hili ni jukwaa la GTs, hata handwriting yako inawezesha kukufahamu, karibu tenanitakuwa nn[emoji23][emoji23]
hahaaa...ahsante kaka kwa kunijulisha afu vp kwan umeelewa nn kuhusu TheMason au umeelewaje
hahaaaa mimii au
swali gani boss
Mkuu kwa hizi comments zako ulizotoa kama majibu ya maswali uliyoulizwa basi humu utapaweza.Ndio nmeamua kua mfuasi wa JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani hujanielewa wapi mkuu?umemaanisha nn mkuu hahaa
Style yako ya kujibu maswali ndio inayotumika sana humu kwenye mijadala.kwa jinsi maswali haya ulivyoyajibu basi umu utapaweza
kwa majibu yake ni wa siku zote leo kajibadili tuWewe sio new member sema una ID mpya, Btw Karibu