New member

New member

bic2kn

Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
76
Reaction score
22
Jamaniee naombeni kunikaribisha krk familia ya jf. Ni mgeni kabisaaaaa miiko ya familia na matumizi sahh ya jf. Thank you sana.
 
Huo uandishi wa fb uache huko huko haba tunaandika kwa heshima na taadhima.
 
Nataka mchumba kwa sifa zifuatazo.
1.sura yoyote
2.awe na kazi/biashara
3.mcha Mungu
4.urefu wa wastani
5.cbagui rangi
6.awe mtu wa kanda ya ziwa, kati, pwan. Tanga ctaki, wagogo ctaki
Ni pm kama utalendezwa nami.
 
Nataka mchumba kwa sifa zifuatazo.
1.sura yoyote
2.awe na kazi/biashara
3.mcha Mungu
4.urefu wa wastani
5.cbagui rangi
6.awe mtu wa kanda ya ziwa, kati, pwan. Tanga ctaki, wagogo ctaki
Ni pm kama utalendezwa nami.
wewe ni ke au me?
be care kuna majini humu yanataka kuoa!!
 
Back
Top Bottom