Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Kwanza hakuna haja ya kutaka kukaribishwa humu, kwasababu wewe ni member wa zamani sana humu Jf na hapa naona umeamua kuja na I'd mpya....Mambo zenu wadau...nmekuwa msomaj mzur wa jf kwa kipindi kirefu!! Naomba kukaribishwaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukibisha sema nikuumbue hapahapa hadharani.....[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]