New Member

New Member

Kuna mtu humu ana roho kama Malaika, mwingi wa busara na mcheshi pia. Majina yenu yanafanana ila lako limenyumbuliwa zaidi. Anaitwa Heaven Sent

Bila shaka nawe utakuwa na mfanano wa jina lako.

Karibu Jukwaani Mkuu.
Asante sana mkuu nafarijika kuskia hivo...nadhani mbali ya majina hata wasifu wetu waeza shabihiana[emoji6]
 
Back
Top Bottom