New member

New member

Uliingia kimya kimya ili ufanye uchunguzi kisha ukatulipue uko!!..waaambie walokuwa wamekutuma kuwa tumebadili mbinu.
hahaha sasa nani amenitum mfano.. we ulivoingia ulitumwa pia? jaman nlikua tu nasoma mazingira sikutaka kukurupuka
 
Mashallah.karibu sana.
uliza chochote tutakusaidia mi na joseverest.sisi ndio moderators wa jf hivyo jiskie huru kuuliza chochote wakati wowote
haahaha nashukuru kwa ukaribisho wako bwana moderator...maswali yatakuja tu mengi kwakweli
 
Back
Top Bottom