Habari zenu wakuu mm mgeni natumaini tutashirikiana pamoja katika jamii hii nimefurah kuwepo hapa[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Me? & ke?
Karibu
Picha
Jinsia
Namba
Na ulipo
Asante ndugu mjume kwa kuuliza maswali ya msingi kabisa.
Afu anabisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante ndugu mjume kwa kuuliza maswali ya msingi kabisa.
Kwa jinsi nilivyo soma majibu ya mgeni wetu, naomba kutanabaisha kwamba ni wazi huyu ni mwenyeji alie amua kuja na ID mpya......
Naomba kuwasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha aendelee kubisha, na hapa tunamchora tu...tehteehh [emoji12] [emoji12]
Umeleta nini ili tushirikianeHabari zenu wakuu mm mgeni natumaini tutashirikiana pamoja katika jamii hii nimefurah kuwepo hapa[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app