New member

New member

Habari zenu wakuu mm mgeni natumaini tutashirikiana pamoja katika jamii hii nimefurah kuwepo hapa[emoji4]


Sent using Jamii Forums mobile app
Me? & ke?
Karibu
Picha
Jinsia
Namba
Na ulipo
Niko jamii forum au uhamiaji?


Sent using Jamii Forums mobile app
New member au New [emoji723]?

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante ndugu mjume kwa kuuliza maswali ya msingi kabisa.
Kwa jinsi nilivyo soma majibu ya mgeni wetu, naomba kutanabaisha kwamba ni wazi huyu ni mwenyeji alie amua kuja na ID mpya......
Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom