Abuy Haroun Lateef
Member
- Jan 26, 2020
- 23
- 7
Tafadhali wasiliana na mjukuu wangu joanah ukimtaarifu jinsia yako, umri, marital status na kama hujaathirika na wadudu....Assalam Alykum warahmatullah?
Mambo vipi wadau?
Napatikana; Tanga Tz
Nafurahi nami kujiunga na jf
Ushirikiano wenu kwangu muhimu.
Shukrani nyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali wasiliana na mjukuu wangu joanah ukimtaarifu jinsia yako, umri, marital status na kama hujaathirika na wadudu....
Hii ni kwa ajili ya kumbukumbu za kifamilia
WelcomeTafadhali wasiliana na mjukuu wangu joanah ukimtaarifu jinsia yako, umri, marital status na kama hujaathirika na wadudu....
Hii ni kwa ajili ya kumbukumbu za kifamilia
January hii mjukuu mpenziSijaona ukimtaarifu kuhusu kunikabidhi kiingilio...ama ushapiga kimya kimya we mzee?