New member

New member

Assalam Alykum warahmatullah?
Mambo vipi wadau?
Napatikana; Tanga Tz
Nafurahi nami kujiunga na jf
Ushirikiano wenu kwangu muhimu.
Shukrani nyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali wasiliana na mjukuu wangu joanah ukimtaarifu jinsia yako, umri, marital status na kama hujaathirika na wadudu....

Hii ni kwa ajili ya kumbukumbu za kifamilia
 
Tafadhali wasiliana na mjukuu wangu joanah ukimtaarifu jinsia yako, umri, marital status na kama hujaathirika na wadudu....

Hii ni kwa ajili ya kumbukumbu za kifamilia

Sijaona ukimtaarifu kuhusu kunikabidhi kiingilio...ama ushapiga kimya kimya we mzee?
 
Back
Top Bottom