New Member

New Member

bategereza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
3,314
Reaction score
1,071
Hodi wenyeji. naomba nijiunge nanyi. Natokea Kagera. Ila niko Moro kama kuna lolote natakiwa kufanya naomba nieleweshwe nisije nika over do au under du
 
Usituguse CDM, wala kiongozi wetu ye yote. Ukijaribu tu, matusi tutakayokuporomoshea utajuta kuzaliwa....
 
Usituguse CDM, wala kiongozi wetu ye yote. Ukijaribu tu, matusi tutakayokuporomoshea utajuta kuzaliwa....
Usiuogope... Jf sio facebook...ni ya wastaarabu, kuwa huru mradi ufuate kanuni usiharibu hali ya hewa... Karib sana hujapotea
 
Karibu ila pitia zile terms and conditions page za JF utapata ufahamu mkubwa sana. Kikubwa usiweke taarifa usiyo na uhakika nayo humu maana utadaiwa hadi picha ya hilo tukio humu kwa hisani ya TEAMWekaPicha karibu mdau kwenye kijiwe cha Great Thinkers and relax.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Karibu...kuna majukwaa ya kila aina...tafuta linalokufaa kuendana na matakwa ya nafsi yako.....binafsi napenda jukwaa la siasa...kuna hoja Na vihoja na kamwe huwezi ngoja kujikongoja.
 
Back
Top Bottom