Kija karibu sana muhimu habari za fb au badoo ziache uko uko humu heshima matusi hayatakiwa ukiona mkubwa wako kajamba basi kubali ww ndio umejamba ukiona mada ipo juu ya kiwango chako cha elemu au uelewa wako ni mdogo unapita kimya kimya ok mwisho kila kijiji kina wazee wake jaribu kutafuta wazaa wa humu ili upate kanuni zingine ili usije ukawa mfungwa na kukosa radhi za jf