New member

New member

Tamalisa

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
2,542
Reaction score
905
Habari zenu vikongwe wa Jf, nawasalimu kwa upendo. nashukuru nimejiunga nanyi, naomba ukaribisho wenu. Mwenyezi Mungu awajaalie kheri. Asanta. ​
 
Kuna mtu anaitwa Katavi mtafute ni muhimu kwa wageni.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu vikongwe wa Jf, nawasalimu kwa upendo. nashukuru nimejiunga nanyi, naomba ukaribisho wenu. Mwenyezi Mungu awajaalie kheri. Asanta. ​

Kija karibu sana muhimu habari za fb au badoo ziache uko uko humu heshima matusi hayatakiwa ukiona mkubwa wako kajamba basi kubali ww ndio umejamba ukiona mada ipo juu ya kiwango chako cha elemu au uelewa wako ni mdogo unapita kimya kimya ok mwisho kila kijiji kina wazee wake jaribu kutafuta wazaa wa humu ili upate kanuni zingine ili usije ukawa mfungwa na kukosa radhi za jf
 
Back
Top Bottom